Sunday, 11th August 2024 | Lay Reader Barnabas Maina Macharia
Zaburi 90 Wimbo ulio Bora 8:5-7 2 Petro 3:8-13Karibu katika Ibada ya Kiswahili Leo ni Jumapili ya Kumi na Moja baada ya Utatu Tithing Sunday led by Ngangarithi HBF Kiongozi wa Ibada: Mr. Riwel Ngatia Somo Zaburi 90 Wimbo ulio Bora 8:5-7 2 Petro 3:8-13 Mhubiri: Lay Reader Barnabas Maina Theme: Fanya Hesabu