Sunday, 18th August 2024 | Ven. Canon Isaac M. Wanjii
Zaburi 111 Somo la Agano la Kale: 1 Wafalme 2:10-12, 3:3-14 Waraka: Waefeso 5:15-20 Injili: Yohana 6:51-58Karibu katika Ibada ya Ushirika Utakatifu Leo ni Jumapili ya Kumi na Mbili baada ya Utatu Kiongozi wa Ibada: Rev'd. Julia M. Mwangi Zaburi 111 Somo la Agano la Kale: 1 Wafalme 2:10-12, 3:3-14 Waraka: Waefeso 5:15-20 Injili: Yohana 6:51-58 Mhubiri: Ven. Canon Isaac M. Wanjii Theme: God's definition of true wisdom Kanuni 10 kutoka Waefeso 5:15-20 Tuangalieni mienendo yetu Tuwe watu wenye hekima; Tukomboe wakati kwa maana zamani hizi ni za uovu. Tusiwe wajinga Tufahamu mapenzi ya Bwana. Tusilewe kwa mvinyo Tujazwe Roho Tusemezana kwa zaburi na tenzi na nyimbo za rohoni Tuimbe na kumshangilia Bwana mioyoni mwetu Na kumshukuru Mungu Baba sikuzote kwa mambo yote, katika jina lake Bwana wetu Yesu Kristo