Sunday, 13th October 2024 | Rev'd. Jeremiah Muchoki

Zaburi 129, 130 Isaya 50:4-10 Matendo ya Mitume 2:42-47

Karibu katika Ibada ya Kiswahili Jumapili ya 20 baada ya Utatu Tithing Sunday led by Choir Kiongozi wa Ibada: Susan Ngure Zaburi 129, 130 Isaya 50:4-10 Matendo ya Mitume 2:42-47 Mhubiri: Rev'd. Jeremiah Muchoki Director education and training department Diocese of Mt. Kenya South Vikundi via Imani husaidia; 1. Kuabudu. 2. Huduma kwa kanisa- Kufanya kazi ya Bwana. 3.Kushiba Kiroho. 4. Kupata familia ambayo unakubalika.